News

Mkuu wa Mkoa Wa Arusha azindua mfumo wa madini soko kidigitali

Mkuu wa Mkoa Wa Arusha azindua mfumo wa madini soko kidigitali

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Dr. Paul Makonda Mei 19, 2019 amezindua Soko la Madini ya Dhahabu na Vito vya thamani Mkoani humo na kutoa Rai kwa wachimbaji wadogo kuhakikisha wanatumia soko hilo kufanya biashara ya madini na kunufaika nalo na kuachana mara moja na kufanya biashara haramu ya madini na kutorosha madini hayo au kukwepa kodi na kuwa wakifanya hivyo watakumbana na hatua kali za kisheria